Tuesday, October 1, 2013

FIKRA ZANGU ... pata kuelewa nini kilichomo ndani yake

Fikra Zangu, ni kazi yetu nyingine ambayo kama ilivyo ada, imezingatia sio tu ubora wa kazi bali maadili na mahitaji ya kiburudani ya wapenzi wetu. Kama hujabahatika kuiona, basi ionje kwa kucheki video ya utambulisho hapa chini

Tags:

0 Responses to “FIKRA ZANGU ... pata kuelewa nini kilichomo ndani yake”

Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi