Tuesday, October 1, 2013

VIDEO: Nakwenda kwa Mwanangu... Mkongwe Majuto anapoungana na vijana kufanya mambo makubwa

Unaweza kucheka hadi ukalia humu, lakini unadhani watu hawatakiwi kujifunza huku wakiwa wanafurahi? Tizama video ya utambulisho wa filamu hii ya Nakwenda Kwa Mwanangu hapa chini, ujue kuwa ni kiasi gani unakosa mambo makubwa ikiwa bado hujawa nayo katika maktaba yako

Tags:

0 Responses to “VIDEO: Nakwenda kwa Mwanangu... Mkongwe Majuto anapoungana na vijana kufanya mambo makubwa”

Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi