Tuesday, October 22, 2013

MAANDALIZI YA FILAMU MPYA IITWAYO 'MIKONO SALAMA'



JB akielezea kwa Muhtasari  filamu hiyo ya...Mikono Salama...
Baadhi ya watakaoshiriki kwenye filamu hiyo

Bi Staa na Mzee Chapuo wapo tena kwenye filamu hii, hapa wakiwa na Obama ambae ni casting manager 
Yusuph Embe nae ndani ya nyumba kwenye mzigo huu mpya wa Mikono Salama' 
Kikosi kazi!
Hawa nao watakuwepo.... 
Sura utakazozikuta kwenye filamu hii
Devota,Lulu na muigizaji mpya kabisa .....Safari hii kuna sura mpya kabisa kwa jina ni Ekarini ambazo hujawahi ona popote utawaona kwenye filamu hii ya 'Mikono Salama'
Vichwa makini......Director Adam Kuambiana na Cameraman John Kallaghe wakisikiliza kwa makini kabisa
Babu na wajukuu wakifurahi
Ma-director na waigizaji mahiri sana Adam k na Mzee Chapuo

Tags:

0 Responses to “MAANDALIZI YA FILAMU MPYA IITWAYO 'MIKONO SALAMA'”

Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi