Tuesday, October 1, 2013

Siku 14 ... Miongoni mwa kazi ambazo huwezi kujuta kuinunua

Kushoto kuna Jacob Stephen, katikati yuko Wema bint Sepetu na kule kuna Mahsein Awadh, hakika "!4 Days" ni moja ya kazi zetu ambazo hata sisi binafsi tunapoziona, tunajikuta tukizidi kuipenda kazi yetu kutokana na mambo makubwa ambayo yamefanywa humo ndani. 

Hebu tizama mwenyewe video hapa chini kisha utuambie kuwa ni nini zaidi ambacho unadhani ungehitaji kiwepo ndani ya kazi hii?

video

Tags:

0 Responses to “Siku 14 ... Miongoni mwa kazi ambazo huwezi kujuta kuinunua”

Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi