Monday, December 16, 2013

Hemed aka PHD kikazi zaidi nchini Zambia



Cassie na Hemed .....location!
Kazi ikiendelea....
Cassie wa Vita Baridi....kama hujaiona m
itafute alifanya vizuri sana
Kazi kwa kwenda mbele.....
Ndoa ndoano.!!!
Kazi nzuri Cassie hongera sana
On set.....

Mapumziko kidogo!!
Ajali kazini......!!
Kula bata dogo huku ukikaza buti mpaka kieleweke.....tuwakilishe vema huko Zambia
Cassie na Hemed wakifanya yao
On set!!!
Hemed na fan wake...
Sullu,Cassie na Hemed.....location
Hemed akisoma script
Cassie ....soon tutamleta tena kwa filamu nyingine ndani ya Jerusalem Film Co....Vita Baridi ilibamba sana!!
Cassie aki-direct wakati shooting ikiendelea

Hemed akiwa na Sullu wa Big Brother the Chase kwa mnaomkumbuka..
On Set.....
Action!! hahahaaaa piga kazi kijana..


Cassie Kabwita na Hemed Suleiman 
.....MWISHO.....

Tags: , , ,

0 Responses to “Hemed aka PHD kikazi zaidi nchini Zambia”

Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi