Friday, October 4, 2013

IPI KALI KULIKO ZOTE KATI YA HIZI??

Habari wadau wangu wa Jerusalem film Company,Ningependa kujua ni filamu gani ambayo wewe mfuatiliaji wangu uliipenda sana kati ya hizi? Tumechagua filamu kumi na moja hapa kwa ajili yenu lengo likiwa ni kujua aina ya filamu mnazozipendelea zaidi, hivyo basi chaguo lako ni muhimu sana kwetu kwani litatupa picha halisi ya aina ya filamu zinazopendwa sana na wadau wetu ili tuweze kutengeneza filamu za aina hiyo mara kwa mara.
Tunaomba jibu lako kwa kutoa maoni yako(comments) kwenye blog yetu, maoni yako yatachukuliwa kama kura.vigezo na masharti kuzingatiwa
Natanguliza shukrani.
JB.















Tags:

5 Responses to “IPI KALI KULIKO ZOTE KATI YA HIZI??”

Unknown said...
October 4, 2013 at 10:39 PM

Daaaah kila moja ni kali coz zina ladha tofauti ila katika mapenzi ni lazima moja imezidi nayo ni VITA BARIDI kwani mwanadada CASSiE KABWITA alileta laadha ya pekee ndani ya hii filamuu!!!!!! Big up sanaa, mussa mwaakitinya


Anonymous said...
October 4, 2013 at 10:48 PM

Zote zko poa sana,labda ushauri ni kutumia vifaa vyenye viwango na ubora mfano;camera.


Unknown said...
October 5, 2013 at 7:20 AM

Zote kali sana ila ZAWADI YA BIRTHDAY kali zaidi ikifuatiwa na VITA BARIDI.Upo juu sana broo keep it up.


Unknown said...
October 5, 2013 at 7:35 AM

zoote kali sana ila hii imezidi zote ZAWADI YA BIRTHDAY.upo juu sana broo keep it up.


Unknown said...
October 5, 2013 at 1:01 PM

Zote Kali Mjomba ila Kuna Kama Zingine Umezisahahu, Kuna Moja hivi inaitwa Swaiba Eeeh Mtoto kakolea pombe Kazama Rooma Kwako Rich richie Single Mtambalike Kakuona Wewe Swaiba Hakukusachi kumbe Alikuamini Halfu kwa Mbwembwe Ukajiita Wewe Bonge La Simbaaaaaa aiseee JB Mkali Kaka Nakukubali vibaya vibaya, Aisee Iam One Among Your Fans
!!


Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi