Thursday, October 3, 2013
JB KATIKA KAZI ZA KIJAMII ZA KIBALOZI NA SHIRIKA LA OXFAM TANZANIA
Thursday, October 3, 2013 by Unknown
Masood Kipanya na JB .....mabalozi wa Oxfam kwenye kampeni ya Grow
JB
Mabalozi wa Oxfam ..JB,Kipanya na Khadija Mwanamboka
JB na wazee wa Lushoto Tanga
Grow!!
Kikazi zaidi
Kaka yenu huyo nikimwaga sera
Tukipata maelekezo toka kwa wadau wa kampeni ya Grow
Tuko makini kusikiliza
wafanye wajisikie u mmoja wao!!
Mabalozi wa Grow campain
Hapa nikifurahi na Big boss Mwanahamisi
Nikiona Camera nasikia raha sana....
I love this pic,,,,,,,,nimetokelezea kama mamtoni hahahaaa!!
Sokoni Lusoto
Nikiongea na wadau wangu Sokoni Lushoto
Mvua ikaleta shida kidogo lakini kazi ikaendelea
Mandhali nzuri ya wilaya ya Lushoto
Kucheka na kufurahi ndo maisha yangu
Hapa tunachanganya dawa kabla ya kuingia shambani ...
Nipo tayari kuingia shambani kupulizia dawa ya kuuwa wadudu kwenye mimea
Yap yap balozi nipo kazini lazima kuonyesha mfano kwa unaowaongoza
Yes na hiki ndio kipengele muhimu sana ...Karibuni supu
Kazi inaendelea
Mabalozi tumemaliza kazi sasa tupo tayari kurudi Dar kuendelea na majukumu mengine katika ujenzi wa Taifa.
NB: Jacob Stephen ni Balozi mteule wa Shirika la Kimataifa la Oxfam Tanzania linalojishughulisha na Uhakika wa Chakula kwenye Kampeni ya Grow.
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 Responses to “JB KATIKA KAZI ZA KIJAMII ZA KIBALOZI NA SHIRIKA LA OXFAM TANZANIA”
October 4, 2013 at 10:36 PM
Giving back to the society ndio mpaango wa mjini hoongereni, Mussa Mwakitinya
Post a Comment