Friday, October 11, 2013

KIBAKA MZOEFU MTAANI AKIONA CHA MOTO!!

Kibaka mzoefu mwenye tisheti nyeusi baada ya kukamatwa na wananchi wenye hasira kali maeneo ya ilala
Wananchi wakishangilia baada ya kibaka huyo kukamatwa


Mama aliyeibiwa kanga zake na kibaka huyo
Mama akiwa na jazba sana akitaka kibaka huyo apewe adhabu kali mana ndio tabia yake na amekuwa kero sana mtaani
Heka heka eneo la tukio
Kibaka akilia kuomba msamaha kwa wananchi wenye hasira kali
Silo Njenje nae alikuwepo eneo la tukio

Mwisho wake mama alieibiwa vitu vyake aliamua kumsamehe baada ya kujua ni kijana wa mtaani kwake ila alimpa onyo asirudie tena na yeeye awe mlinzi kwa wezi wengine wa mtaani
.

Tags:

2 Responses to “KIBAKA MZOEFU MTAANI AKIONA CHA MOTO!!”

Anonymous said...
October 12, 2013 at 10:24 PM

Wangemchoma tu moto mana wamezidi kutia watu hasara


Anonymous said...
October 12, 2013 at 10:26 PM

chinja kabisa huyo


Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi