Tuesday, October 29, 2013

KUTOKA LOCATION.......MIKONO SALAMA



Safari ya kuelekea location kwa ajili ya shooting ya filamu yetu mpya iitwayo MIKONO SALAMA
Tumefika eneo la tukio
                    Mapumziko kidogo kabla ya kazi kuanza
Kikosi kazi safarini
JB na Lulu (make-up artist)

JB na Mzee Katembo....utawaona wote ndani ya mzigo huu mpya unaopikwa sasa wa Mikono Salama


Jokate akijiandaa kuingia mzigoni


Moja kati ya nyumba zitakazotumika kwenye filamu hii


Mzee Katembo na Mama Mjata ndani ya Mikono Salama....


John Kallaghe cameraman wa uhakika akiwa mzigoni

Endelea kutembelea hapa kwa picha zaidi za matukio yanayojiri kwenye uandaaji wa filamu hii ya MIKONO SALAMA.

Tags: , ,

0 Responses to “KUTOKA LOCATION.......MIKONO SALAMA”

Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi