Tuesday, October 29, 2013

RICH RICH,IRENE UWOYA,JOKATE NA WENGINE WENGI NDANI YA FILAMU MPYA IITWAYO MIKONO SALAMA...

Jokate na Rich
Director Adam K
Kuambiana akiwekwa sawa
Embe na Kuambiana
Uwoya na Kuambiana
Uwoya na Rich  
Jokate na Rich on Set
Uwoya,John Kallaghe na Jokate
Kikosi Kazi
Rich Rich ndani ya  Filamu mpya ya Mikono Salama
Jokate na Rich on set.....
Action!!!!!
Kazi inaendelea
Adam K, Jokate na John K
Kidoti na John K
Usiondoke tafadhali endelea ku-refresh page hii uone picha zaidi za wasanii wengine maarufu waliopo ndani ya filamu hii ya Mikono Salama.

Tags: , ,

4 Responses to “RICH RICH,IRENE UWOYA,JOKATE NA WENGINE WENGI NDANI YA FILAMU MPYA IITWAYO MIKONO SALAMA...”

Yasini Mhindi said...
October 29, 2013 at 3:39 PM

Iko powa location na wako katika muonekano powa kabisa

Kingine napenda kuchukua frusa hii kuiomba Jerusalem film company kuangalia vipaj nje na jiji la Dar mfano Dom kuna vipaj ila hakuna wa kuviendeleza

Mi ninaeandika hapa pia najiamin katika masuala na Film ila sijapata muongozo wa kunisogeza mbele zaid

Habari Bro napenda kutanguliza salam na pia upo kee Heshima yako Shikamoo Mimi ni kijana Napenda sana kujihusisha na Filam kwakuwa nahic ninakibaj ila wa kuniongoza ndo bado sijampata elim yang ni fom 4 nakaa Dodoma
Naomba msaada wako kama huto jali asante kwa kusoma ujumbe wang nakutakia maisha mema na kazi njema naheshim sana kaz zako na nakukubali sana!!

Kama naweza kujibiwa Basi email yang ni (yasinimhindi@gmai.com) napatikana
Facebook kwa jina Yasini Mhindi
Twitter. kwa jina Yasini Mhindi
Blogeer www.yasinimhindi.blogspot.com

My phone nomber 0758 902945

Kazi njema na asante kwa kunisikiliza


Unknown said...
October 29, 2013 at 3:44 PM

Asante kwa comment yako Yasin ujembe wako utafanyiwa kazi na tumechukua mawasiliano yako.


Yasini Mhindi said...
October 29, 2013 at 4:11 PM

Asante sana kama utaangaliwa kwa kuwa nafaa kuendelezwa au sifai na polen sana na Msiba wa Baba wa Muigizaj Mwenzenu Wema Sepetu! Tulimpenda ila Mwenyezi Mungu kampenda Zaidi

Napenda sana Filam zako na napenda siku moja nikawa kama wewe katika Tasinia ya film katika Film ya Shikamoo mzee nimeipenda ninzur ila kuna kipande nakipenda zaid ni kile ulicho sema

Kama hujui Kingereza usifanye sentence iwe ndeeefu utaumbuka

Kazi njema kaka!!


rose said...
October 29, 2013 at 4:37 PM

Nice nice, naisubilia kwa hamu.


Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi