Thursday, October 10, 2013

MUENDELEZO WA PICHA KATIKA SHOOTING YA FILAMU YA WAGENI WANGU....SIKU YA MWISHO.


Kutoka kushoto ni Cameraman wa Jerusalem Film Co,Makeup Artist na Production Manager wa JFC

Make up artist akifanya kazi yake

Hapa akimuweka sawa Bi Hindu kabla ya kuingia On Set!

Muda wa mapumziko wazee wetu wanajipatia habari kujua yanayojiri jijini na duniani kwa ujumla

Rehasal huku director akiwa makini kuwasikiliza

Mzee Chapuo na Muhogo wakipitia Script kabla ya shooting kuanza

On Set

Action!!!!!

Three,Two,One aaaaand Action!! In Kuambiana's voice si mchezo!!

Kazi Inaendelea

Muhogo na Edna katika poziiiii la kupumzikia !!

Bi Staa na PM wakiwasili kwenye eneo lingine tayari kwa production,unamuona Muhogo kwa mbaaaali!

Kazi imekolea bibie wa make up na silaha zake

On set.....

Cameraman Mathias akihakikisha kamera yake ipo kwenye angle husika

Wazee on set....kipengele kingine cha kuvitia sana ndani ya filamu ya Wageni Wangu......Usikubali kuikosa mara itakapoingizwa sokoni

Action!!!!

Cameraman wa blog Hussein Njenje nae alikuwepo kuhakikisha msomaji wetu unapata ladha kidogo ya yanayojiri tukiwa location

Director Adam Kuambiana akiwa na Bi Edna 

Kazi Imeisha sasa kikosi kinajiandaa kutawanyika

Dereva wetu akihakikisha kila kitu kipo sawa kabla ya safari kuanza.
Asanteni sana kwa kutufuatilia tangu mwanzo wa shooting ya filamu yetu hii ya Wageni Wangu, mpaka hapa ndio tunahitimisha matukio yote ya kutoka location.Kilichobaki ni kuitengeneza ili mpate kitu kizuri kabisa.
Tutawapa taarifa pindi tu itakapokaribia kuingia sokoni.

Tags:

0 Responses to “MUENDELEZO WA PICHA KATIKA SHOOTING YA FILAMU YA WAGENI WANGU....SIKU YA MWISHO.”

Jisajili Kupata Habari Mpya

Ikiwa ungependa kupata taarifa zetu mara kwa mara, pindi tu zinapowekwa hapa, jisajili kwa kuandika anwani ya barua pepe hapa chini kisha fuata maelekezo

© 2013 Jerusalem Film Company. All rights reserved.
BlogTheme Edited by Rama Msangi