Home
» jamii
» PICHA ZA MKUTANO WA WADAU WA FILAMU NA DSTV AFRICAMAGIC VIEWERS' CHOICE AWARDS @ New Africa Hotel
Thursday, October 10, 2013
PICHA ZA MKUTANO WA WADAU WA FILAMU NA DSTV AFRICAMAGIC VIEWERS' CHOICE AWARDS @ New Africa Hotel
Thursday, October 10, 2013 by Unknown
| JB hapa nikipokewa na Babra wa DSTV mara baada ya kuwasili ukumbini ndani ya New Africa Hotel |
| Cathy,JB na Steve |
| Wadau |
| Steve the power akiwa na mdau |
| Babra wa DSTV/AMSwahili - TZ |
| Margareth wa DSTV/AMSwahili - Kenya |
| Shamsa akihojiwa |
| Nikichangia hoja..... |
| Cathy Rupia,Jb,Mrutu na Edna kwa mbaaaaliii |
| Mimi na Mtitu tukibadilishana mawazo |
| Kimya Kimya!!!!! |
| Mona unanikumbusha Mambo Hayo!....Natasha yuko wapi? nakumbuka sana enzi zile... |
| JB na fans wake |
| Wakati Muafaka....Kidogo tu kwa afya nipo kwenye DIET!!! |
| The One and Only Director Kuambiana Jr akijisevia maakuli |
| Silo Njenje akijipendelea misosi! |
| Vijana wa Jerusalem Film Company Silo Njenje,Edna na Shamsa |
| Kijana umeandika vizuri sana Story na Script ya Danija sasa nataka nyingine |
| JB,Kalaghe,Mrutu na Mziray |
| JB nikiwa na wadau na mwandishi toka GPL |
| Kalaghe,Kuambiana,Mtitu,Mziray na Danija!! |
| Vijana hawa wawili wamenikumbusha mbali sana, John K na John Lister nilifanya nao Filamu ya Masaa 24 |
| JB akifanya mahojiano na mwandishi |
| Mpiga picha wetu wa Blog Silo Njenje |
| John Kallaghe Cameraman wa Filamu yangu ya kwanza kwenye kampuni ya Jerusalem Film iitwayo Kanisa La Leo natarajia kufanya nae kazi hivi karibuni |

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “PICHA ZA MKUTANO WA WADAU WA FILAMU NA DSTV AFRICAMAGIC VIEWERS' CHOICE AWARDS @ New Africa Hotel”
Post a Comment